Hivi Jews nao ni wazungu!
Kwanza habari zenyewe za kina Yesu ni za kwao wao wazungu
Halafu hata huyo anaye daiwa ndo mariam alikuwa mzungu, sasa kama alizaa kiumbe cheusi tena shda hiyo sasa
AaahNaweza kukuthibitishia pia
Ila kwanza utoke nje ya box na kuwa huru.... Yapo maandiko kadhaa yanayoweza kukusaidia kuelewa hii
PointWanasababisha Mungu aonekane ana upendeleo,
Ila hii yote ni kwasababu hatufikirii na tusipoamka sasa basi ... Zikipita karne kadhaa hata hawa Kina Michael Jackson, Martin Luther utasikia ni wazungu na watawekwa katika record zote (kumbuka wao ndo wanaozimiliki record za dunia) na watu watakaokuwepo wengi tu wataamini
Thibitisha kuwa mariam alikuwa mzungu
Kwanza habari zenyewe za kina Yesu ni za kwao wao wazungu
Halafu hata huyo anaye daiwa ndo mariam alikuwa mzungu, sasa kama alizaa kiumbe cheusi tena shda hiyo sasa
Real Jews ni weusi... Biblia iliwaita (Wakadinayo)Hivi Jews nao ni wazungu!
gud idea mkuuSafi sana...naomba uniingize kwenye ratiba ya kushare na family, (title..itakuwa..JE WAJUA?)
Nitakuwa nikieleza sifa za kipekee za wanyama, vivutio vya kipekee au sifa za kipekee za watu au mahali husika.
Jazia ka ushauri hapa ili kuleta mvuto
Haahhah nyinyi watu daah
Kwanza habari zenyewe za kina Yesu ni za kwao wao wazungu
Halafu hata huyo anaye daiwa ndo mariam alikuwa mzungu, sasa kama alizaa kiumbe cheusi tena shda hiyo sasa
Hahahahahaha kumbe unamjua??? Ndio yeye huyo katika ubora wake
Ok naingia shughuliniThibitisha kuwa mariam alikuwa mzungu
Hahahaaaa
ndio maana ake si unaona picha inajieleza.Kilimo kwanza mavazi baadae au?
Hahaha bange nibangie..Nguo za kike vepe
akilima zake Mpunga...hahahaBitoz huyo akiwa mbalali
kilimo kwanza...mavazi baadae.Nguo za kike vepe
Hahahahaa sio mahindi kweli,akilima zake Mpunga...hahaha
Very very true, ila sasa ndo wameshaishikilia teknolojia mi nafikiri waafrika tungeanza kwa kubadilisha kwanza hizi mindset na perception, haya mambo tunayofundishwa shule kwenye history kwamba tumeoriginate kutoka kwa nyani ndo yanatuharibu kuanzia mwanzo kabisaWanasababisha Mungu aonekane ana upendeleo,