Nna witoKwa customer care uko
Haha hii ya kuhack ni kiboko... na tunapowataja akina Michael Jackson, Mike Tyson, Mohd Ally tusiwasahau pia Michael Jordan na Eddy Murphy hawa wote kwa ujumla walipaisha sana ngozi nyeusiNa wanamuziki kadha wa kadha wakiwemo kina Michael Jackson
Na kwa wale ambao hawafahamu wajue sasa kuwa hata Jesus, King Solomon na waisrael walikuwa mablack kabla ya wazungu kuhack ile historia na kuibadilisha kabisa ili kuifanya ulimwengu uamini kuwa walikuwa weupe
akina Bob Marley nae tusiwasahau hata akina Biggy na Tupac piaHaha hii ya kuhack ni kiboko... na tunapowataja akina Michael Jackson, Mike Tyson, Mohd Ally tusiwasahau pia Michael Jordan na Eddy Murphy hawa wote kwa ujumla walipaisha sana ngozi nyeusi
Nna wito
akina Martin Luther na wengine wengiakina Bob Marley nae tusiwasahau hata akina Biggy na Tupac pia
Safi sana mkuu, jukwaa linazidi kunogaSafi sana...naomba uniingize kwenye ratiba ya kushare na family, (title..itakuwa..JE WAJUA?)
Nitakuwa nikieleza sifa za kipekee za wanyama, vivutio vya kipekee au sifa za kipekee za watu au mahali husika.
Jazia ka ushauri hapa ili kuleta mvuto
Kiufupi weusi ndio vinara japo weupe wanajifanya kutolitambua hiloHaha hii ya kuhack ni kiboko... na tunapowataja akina Michael Jackson, Mike Tyson, Mohd Ally tusiwasahau pia Michael Jordan na Eddy Murphy hawa wote kwa ujumla walipaisha sana ngozi nyeusi
Weka kamchango kama kapoSafi sana mkuu, jukwaa linazidi kunoga
Nakupa mfano simple tu....Haha hii ya kuhack ni kiboko... na tunapowataja akina Michael Jackson, Mike Tyson, Mohd Ally tusiwasahau pia Michael Jordan na Eddy Murphy hawa wote kwa ujumla walipaisha sana ngozi nyeusi
Naona hyo title imekaa vizuri labda ufanye kwanza nikiona content ndo ntajua pa kushauri zaidWeka kamchango kama kapo
Safi sana...naomba uniingize kwenye ratiba ya kushare na family, (title..itakuwa..JE WAJUA?)
Nitakuwa nikieleza sifa za kipekee za wanyama, vivutio vya kipekee au sifa za kipekee za watu au mahali husika.
Jazia ka ushauri hapa ili kuleta mvuto
Naweza kukuthibitishia piaHahaha
Hao haiezekan
Kilimo kwanza mavazi baadae au?kilimo kwanza
SafiiiiiiSafi sana...naomba uniingize kwenye ratiba ya kushare na family, (title..itakuwa..JE WAJUA?)
Nitakuwa nikieleza sifa za kipekee za wanyama, vivutio vya kipekee au sifa za kipekee za watu au mahali husika.
Jazia ka ushauri hapa ili kuleta mvuto
Walituzid ujanja mapema hawa wazungu wakafanya hizi figisu, huwa nashangaa inakuaje hata hao malaika wote na hata watakatifu wanakua ni wazungu tu dah!Nakupa mfano simple tu....
Hivi kuna mzungu gani unaemjua anaeweza kubeba msalaba kwa umbali mrefu tena akiwa katika hali ile????
Huu mchezo hauhitaji hasira mkuu
Haya mambo tukiamua kuingia deep basi itakuwa mwisho wa Brain washed
Ila sidhani kama wazungu wataruhusu hilo
Wanasababisha Mungu aonekane ana upendeleo,Walituzid ujanja mapema hawa wazungu wakafanya hizi figisu, huwa nashangaa inakuaje hata hao malaika wote na hata watakatifu wanakua ni wazungu tu dah!
Ningependelea hasa jioni ndipo naweza kuwa na utulivu wa kuposti na nisingependa kuingilia ratiba ya shululu na mzee wa 10. Hivyo naomba uweke mpangilio nani aanza, afuate nani na amalizie naniSafiiiiii
Kwanza naomba kujua utakuwa unaleta muda gani?? (Hii itasaidia ili tuwe tunapishana muda kuwapa ladha tofauti Makapuku na pia tuweze kujazia nyama)
Kuhusu ushauri utafuata polepole kadri itakavyokuwa unatiririka
Hongera sana kwa ubunifu
Bitoz huyo akiwa mbalalikilimo kwanza
Nakupa mfano simple tu....
Hivi kuna mzungu gani unaemjua anaeweza kubeba msalaba kwa umbali mrefu tena akiwa katika hali ile????
Huu mchezo hauhitaji hasira mkuu
Haya mambo tukiamua kuingia deep basi itakuwa mwisho wa Brain washed
Ila sidhani kama wazungu wataruhusu hilo