Makapuku Forum

Na wanamuziki kadha wa kadha wakiwemo kina Michael Jackson
Na kwa wale ambao hawafahamu wajue sasa kuwa hata Jesus, King Solomon na waisrael walikuwa mablack kabla ya wazungu kuhack ile historia na kuibadilisha kabisa ili kuifanya ulimwengu uamini kuwa walikuwa weupe
 
[QUOTE="Jimena, post: 16690386, member: 294.........Jesus, King Solomon na waisrael walikuwa mablack kabla ya wazungu kuhack ile historia na kuibadilisha kabisa ili kuifanya ulimwengu uamini kuwa walikuwa weupe[/QUOTE]

Hahaha
Hao haiezekan
 
BREAKING NEWS
Batimaye thread ya Bitoz imewekwa STICKY Jukwaa la Utanashati

Darasa la kupigilia pamba kijanja
Makofi Tafadhali
Makapuku tunazidi kuthaminiwa
................
Hongera sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
City boy katika ubora wako....
 
[QUOTE="Jimena, post: 16690386, member: 294.........Jesus, King Solomon na waisrael walikuwa mablack kabla ya wazungu kuhack ile historia na kuibadilisha kabisa ili kuifanya ulimwengu uamini kuwa walikuwa weupe

Hahaha
Hao haiezekan[/QUOTE]
Naweza kukuthibitishia pia
Ila kwanza utoke nje ya box na kuwa huru.... Yapo maandiko kadhaa yanayoweza kukusaidia kuelewa hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…