Hivi na yeye kapotea eh.nilijua mimi mwenyewe.Haha pole mwaya, mi nlidhani we ndo umemficha
Hivi na yeye kapotea eh.nilijua mimi mwenyewe.Haha pole mwaya, mi nlidhani we ndo umemficha
Basi sawaaaNiko poa. Yuko busy kidogo.
Kapotea kidogoHivi na yeye kapotea eh.nilijua mimi mwenyewe.
Nimeona mipovu imewatoka... ila tuwavumilie watazoea tuu...si unajua pale unapajiona wewe ni top in town then wakaja wengine wakakufunika inavyouma. Tuwavumilie tuu wamechanganyikiwa... kwa kifupi wame shuka thamani.Povu limeanza kuwatoka wakongwe badala ya sisi kuwazungumzia wao sasa hivi WAO WANATUZUNGUMZIA SISI utafikiri tumeiba vyupi vyao![]()
..........
Safi dia, asante sanaKwema, mambo vp?
Karibu tena
MorningMorning Makapukuz![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahahaaaaaaa naona ulimwamia NO KICKYule DadaKiiza shida yake kick
.............
Kwema kabisa mkuu, karibuHope kwema humu wadau...
Mimi poa.. nafurah kama na wewe upo poa.Long time no see. Kuna Watu wanakera sana basi tu. Uko poa lakini
Nimeona mipovu imewatoka... ila tuwavumilie watazoea tuu...si unajua pale unapajiona wewe ni top in town then wakaja wengine wakakufunika inavyouma. Tuwavumilie tuu wamechanganyikiwa... kwa kifupi wame shuka thamani.
Pamoja sana mkuu, mambo yanasonga?Kwema kabisa mkuu, karibu
Itakuwa alipoenda napo kaachwaKapotea kidogo
Nafurahi pia my friendMimi poa.. nafurah kama na wewe upo poa.
Yanasonga mkuu, Mungu ni mwemaPamoja sana mkuu, mambo yanasonga?
Ohoo jambo la heri mkuuYanasonga mkuu, Mungu ni mwema
Haha.. I seeItakuwa alipoenda napo kaachwa