sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Hapa kazi tuuuHii forum hatari sana.
Hapa kazi tuuuHii forum hatari sana.
Kweli nimeamini!Usishindane na kapuku mkongwe...kijana
Nimepigwaaa sana napost bila like wala comment aseee now nikoo na kapukuuu wenzetuuuMkuu nini tena ,mbona machozi
Polee..... Huku utaoga likesNimepigwaaa sana napost bila like wala comment aseee now nikoo na kapukuuu wenzetuuu

Mkuu usijali hapa utapata likes mpaka useme baaaasi!Nimepigwaaa sana napost bila like wala comment aseee now nikoo na kapukuuu wenzetuuu
Sawaaaaa kapukuuuu mwenzanguuMkuu usijali hapa utapata likes mpaka useme baaaasi!
MimiNani sijampa like?
Sitting room![]()
![]()
kitandani kila mtu bebi
Sasa hapo si bado tuko public. Itikia salamu hiyo
Haya mwaya marhabaa![]()
![]()
Sasa hapo si bado tuko public. Itikia salamu hiyo
Wewe ninavyokupenda nikunyime like? Coment tena ni like..Mimi
Hapo sawaHaya mwaya marhabaa
Hata mimi nakupendaWewe ninavyokupenda nikunyime like? Coment tena ni like..

