Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Makapuku mnakimbiza mbaya, Hussein Bolt haoni ndani.
Makapuku mnakimbiza mbaya, Hussein Bolt haoni ndani.
MarahabaaaShikamooo
Okay karibuNiko poa kabisa![]()
Karibu ngabu, nyaniSafi....
Inabidi uilete humu ndani mods hawataiona.Nilishawahi kuweka post hapa JF lakini haikudumu ikaondolewa nitaileta kivingine msijali
Fix hizo brazaFutibol ni ibada ya kuzimu
Asante sanaOkay karibu
Mshana jr ni balaaFix hizo braza
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
............................
Iache hivo hivo![]()
![]()
Ntaedit comment basi
HayaIache hivo hivo
Wakongwe wamejificha, ila wanachungulia kwa mbalii...kwenye katundu kadogoo, hawaamini macho yao....humu watu tumeamua kazi...hapa kazi tu...![]()
Umoja ni nguvu
Makapuku oyeeeeee
Wapi wakongwe
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
....................................
Nimeiweka hiyo kwenye post # 3Wakongwe wamejificha, ila wanachungulia kwa mbalii...kwenye katundu kadogoo, hawaamini macho yao....humu watu tumeamua kazi...hapa kazi tu...
Haaa!i love u too🙂🙂
u r vere funny...Nani anataka ukewenza😡😡😡😡😡oooh Mungu fanya wepesi nimiliki huyu mrembo