Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Sipendi vyeo vya kiasiasa....kwanini?
Napenda kuwa free na kula bata tu maana maisha yenyewe ni mafupi
Sipendi vyeo vya kiasiasa....kwanini?
Tumekuya kuwachapa!!![emoji13]Jana nilikuona na timu yenu ya Mazembe
Siasa ni full stress, yo very rightMi napenda kuishi kwa raha bila stress hivyo sipendi cheo chochote cha kisiasa
sawa.Sipendi vyeo vya kiasiasa....
Napenda kuwa free na kula bata tu maana maisha yenyewe ni mafupi
hahahaTumekuya kuwachapa!!![emoji13]
Mzee wa historia, u hali ganisawa.
mi sijambo mkuu, sijui wewe?Mzee historia, u hali gani
Mungu mwema, ni siku nyingine njema na barakami sijambo mkuu, sijui wewe?
Kwema kwa upande wangu, habari kwako!Wakuu,habari za hapa..
amenMungu mwema, ni siku nyingine njema na baraka
Kuna kapuku yeyote mwenye utaalam wa kuandaa BOQ?amen
ngoja wajeKuna kapuku yeyote mwenye utaalam wa kuandaa BOQ?
Njema ndugu..Kwema kwa upande wangu, habari kwako!
Sound good to hear datNjema ndugu..
Nzuri mkuu,tupo hapa kama unavyoonaWakuu,habari za hapa..
Nawasubiriangoja waje
Umekuwa member muhimu wa wakati wote shululuNzuri mkuu,tupo hapa kama unavyoona
NjemaWakuu,habari za hapa..