Uko sahihi kabisa jambiloHata shetani hapendi kukuona ukifurahi au mkishikamana, kwake ni tatizo.
Hivi hapa tunamuudhi nani?
Tunatumia pesa ya mtu?
Je twawashambulia wengine?
Mwadamu ni kiumbe hatari na wa ajabu sana
AaahKuna muda alionekana asubuhi, baada ya magazeti
Umetuombea na sie lakin?Mungu anasaidia, nimeonelea kutoa salam walau na upako wa jpili
Nzuri kabisa,za weyeHabarin za jpili wapendwa katika Bwana?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani magazeti yaanzishiwe jukwaa?
Yule Madenge mpuuzi
.........
Njema piaNzuri kabisa,za weye
Ndo ukweli huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe uwa wana pita kimya kimya wana ona
Aah huo ni ushamba
Sana tu ila tu usiwe unasubir kuombewa mkuuUmetuombea na sie lakin?
Duh! Watasema kila kitu lakin furaha yetu kubwa ni kufanya vile vitu ambavyo wao walidhani hatuwezi kuvifanyaKuna mwingine nae baada ya kuona Makapuku tunashine ameenda kudai kule members only eti lianzishwe jukwaa jipya ambalo litakuwa linaweka vichwa vya habari vya magazeti ya kila siku
Ni poa sana aaaFresh tu ndugu, za masiku dadake?
YaanKuna mwingine nae baada ya kuona Makapuku tunashine ameenda kudai kule members only eti lianzishwe jukwaa jipya ambalo litakuwa linaweka vichwa vya habari vya magazeti ya kila siku
Uzuri ni kwamba wanaumia kimyakimya,harafu makapuku haina [emoji355] nao, ndio wanaumia zaidi mpaka mapovu yanawatoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe uwa wana pita kimya kimya wana ona
Aah huo ni ushamba
Macho yako yameziba?Bitoz ngapi ngapi???[emoji13] [emoji2] [emoji1]
Usiogope mkuu, hakuna kitakachoharibikaAaaah
Apo sasa unaharibu [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji379]
Poa dadake, pamoja sanaNi poa sana aaa
Tunamshukuru Mungu uzima upo