Inapendeza sana,
Vipi kitambo sana kaka mishe zimekaaje lakini?
MANDELAA KIWELU na briz Siwaoni kabisa.
wakuu nipo Salama,natumai nyote ni wazima Pia ..Kiwelu kwa kweli cja muona nna miaka miwili humu
Alafu briz ana tym zake flan hvi
HahahaHili jibu nimelipenda
Hahahaawakuu nipo Salama,natumai nyote ni wazima Pia ..
Jimena, Cobblepots briz
Na Wadau Wote Nawatakia Mfungo Mwema ..
Cr7 yuko anga zingine kabisa!!Alikuwa akifata nyayo za Beckham
Messi mtoto mdogo sana kwa RonaldoHahaha mimi sijawahi kumchukia Ronaldo ila mnapomlinganisha na Messi hapo ndio unapoona namchukia.
Ni sawa uniambie De Gea ni bora kuliko Neuer tutabishana mpaka asubuhi.
De gea ni bora kuliko nuer, provided that Neur ana watu 11 ndani wanao mprotect ambao hawako sawa kabsa na wale 11 wa kwa de gea
KabsaaaaMessi mtoto mdogo sana kwa Ronaldo
Nachomkubali José yeye ni mtu wa maarifa hivyo hata kwa goli la mkono lakini heshima lazima irudiTunarudi katika glory days chini ya Jose. #Believe
HaaHahaha...nilijua tu lazima ujibu hivyo! Baada ya miaka michache De Gea ndio atampiku Neuer!
Asante sana mkuu,wakuu nipo Salama,natumai nyote ni wazima Pia ..
Jimena, Cobblepots briz
Na Wadau Wote Nawatakia Mfungo Mwema ..
Kila kitu kinaenda kama kilivyopangwaHahaha
Ucjali mam nipo apa haliharibik jambo
Nakubaliana na weweCr7 yuko anaga zingine kabisa!!
Hahahaa
Daaaah
Za miaka mkuu
Safi kabisaMkuu Szczesny Namkubali sana CR7 kwangu mimi yeye ndio mchezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza EPL kando ya TH14 na Bergkamp.
Siwezi kumu-underrate hata kidogo, mchango wake klabuni Man Utd ni mkubwa sana, alijitolea kila kitu na hata pale alipotaka kuhama 2008 babu alimshawishi abaki kwa msimu mmoja zaidi na akakubali.
Hata leo na umri wake ule akisema anarudi OT miminitamkubali kwa mikono miwili kabisa! Yule ni shujaa wetu hasa kizazi hiki ambacho hatukumfaidi King Eric Cantona akiwa anacheza pale OT.
Nakala kwa;
Jimena Th Name Bitoz
safi mambo yananenda uzuri kabsaKweli mkuu, kadiri mda unavyosonga mambo yanazidi kuwa magumu,.
Kwema lakini mkuu, babu anasema je?
Huyo ndio Jose ninayemkubali. Heshima imerudi mjiniNachomkubali José yeye ni mtu wa maarifa hivyo hata kwa goli la mkono lakini heshima lazima irudi
tawile...Nakubaliana na wewe