Johnax
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 256
- 940
Weekend yangu naikaribisha namba hiiMi niko poa kabisa mkuu, wikend wap?
Weekend yangu naikaribisha namba hiiMi niko poa kabisa mkuu, wikend wap?
Dah naona mmesogezewa coco beach jirani kabisa, zamani tulikua tunaunda camp uswaz na kukodi costa kwenda coco wikendYeah
Siku hizi kupo poa tunaendaga kurelax na mademu zetu muda wa jioni hata vibaka nao wamepungua
........
Ntakufua... ohoooooAcha majungu we kikofia
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Poa poa bro, enjoyWeekend yangu naikaribisha namba hii![]()
![]()
Kapuku dadaz ktk picha ya pamoja
They luk so sexy
Namuona Jimena pale juu
Lizzy pembeni
Amaizing katikati
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
...........

Nimejiona, hahahaaaHahahahahaaa
Cc Jimena, lizziebettie, amaizing, Linamo na patience123
Haha hata mi nimekuonaNimejiona, hahahaaa
Hatupo sieHeri mi nipo safe, we na lizziebettie hamkwepi hiyo![]()
![]()
![]()
Hahaha nimevaajeHaha hata mi nimekuona
Sio kwa uzuri huo ndugu, unakwepaje kwa mfano?Hatupo sie
We si ndo huyo mtoto mzuri mweupe hapo.. mwenye top nyekunduHahaha nimevaaje

Pamoja sana mkuuPoa poa bro, enjoy
Umkosea, mimi mwenye kigauni cha orangeWe si ndo huyo mtoto mzuri mweupe hapo.. mwenye top nyekundu![]()
![]()
![]()

AaahZa kuamka makapuku
Hahaa mtalipa tu![]()
![]()
![]()
![]()
kiujanja ujanja
MorningGood morning family
Aah wap! Ndio wewe huyo unaonekana mjanja mjanjaUmkosea, mimi mwenye kigauni cha orange![]()
![]()
![]()
Mkuu vp ndo umekuja na top ten?Morning
Za kuamka