Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Acha kabisa usipokuwa na imani hufungi hata moja.Pole kwa hilo, baridi ya kwenu ni kali so njaa lazima mfungo uwe mgumu
saa moja asubuhi njaa tayari.Acha kabisa usipokuwa na imani hufungi hata moja.Pole kwa hilo, baridi ya kwenu ni kali so njaa lazima mfungo uwe mgumu
saa moja asubuhi njaa tayari.Ahsante Mkuu...View attachment 359940View attachment 359941View attachment 359942
Kutoka katika magazeti... Sina la ziada...
Adios amigo
Ciao!
So leo yamekushinda!Acha kabisa usipokuwa na imani hufungi hata moja.![]()
![]()
saa moja asubuhi njaa tayari.
Heshima yako brotherSabati njema wakuu
Na iwe njema kwako piaSabati njema wakuu
KaribuAsante kwa magazeti
Hivi hiyo gahwa unayoindaa mda huu ni ya kufturu au!Nimefunga mkuu![]()
![]()
Naandaa ya baadaye mkuuHivi hiyo gahwa unayoindaa mda huu ni ya kufturu au!
Ulikusudia kusema sabato au!Sabati njema wakuu
Duuh hiyo ni sawa na kutembea na muwa, muda wowote utaung'ataNaandaa ya baadaye mkuu
Hahahaha.Duuh hiyo ni sawa na kutembea na muwa, muda wowote utaung'ata
Aiseee we are vere byutiful![]()
Kapuku dadaz ktk picha ya pamoja
They luk so sexy
Namuona Jimena pale juu
Lizzy pembeni
Amaizing katikati
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
...........
Hiyo hali ya hewa inafaa kabisa kwa kilimo cha watotoMimi niko vizuri kabisa brother,huku ni baridi tu na kimvua kwambaaali.
