Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Itakuwa Puyolhyo ni interview ya mesi au iniesta![]()
Itakuwa Puyolhyo ni interview ya mesi au iniesta![]()
Sawa kabisa mkuu, nimepokea kijitibora umekuja mlinzi wa zamu nkukabidhi rungu
khaaaa mkuu jukwaa kubwa hili sio la kulindwa na kijitiSawa kabisa mkuu, nimepokea kijiti

Mbona daily nalinda kwa style hiikhaaaa mkuu jukwaa kubwa hili sio la kulindwa na kijiti![]()
![]()
Karibu sana. Pole sana ndo mpira huo just relaxMakapuku nimewasili baada ya mechi
Siwez nikarelax wakat tumeporwa ushindiKaribu sana. Pole sana ndo mpira huo just relax
Siwez nikarelax wakat tumeporwa ushindi
ndo mana likes zinaibiwa daily kumbe mlinzi hopeless kabisa wwMbona daily nalinda kwa style hii

Ndio imeshatoka hiyo. Ushindi kawapora nani?Siwez nikarelax wakat tumeporwa ushindi
pole kwa kipigo cha Atletico mkuuMakapuku nimewasili baada ya mechi
mmeporwa ushindi kivipi?Siwez nikarelax wakat tumeporwa ushindi
eti nasikia baada ya gem mashabiki wa ATM walikua wanaimba ule wimbo wa mwana FA asanteni kwa kujaSiwez nikarelax wakat tumeporwa ushindi
Linda wewe tukuone,ndo mana likes zinaibiwa daily kumbe mlinzi hopeless kabisa ww![]()
![]()
eti nasikia baada ya gem mashabiki wa ATM walikua wanaimba ule wimbo wa mwana FA asanteni kwa kuja

Nasikia Iniesta ndo mrithi sahihi wa Iker Cassilas