Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Wakwendreeeeeeee mi napenda Malmö fc tuDu...una roho mbaya sijapata kuona

Wakwendreeeeeeee mi napenda Malmö fc tuDu...una roho mbaya sijapata kuona

Asante my Wii, usiku mwemaNdio tuna lala hapa. Usiku mwema wii!
Ha ha ha wanatolewagwa mwanzoooo tena bila hata pointWakwendreeeeeeee mi napenda Malmö fc tu![]()
![]()
![]()

Pole yao sana. Leo wamesandawameshazoea kubebwa mpaka moinzani apewe red card ndo washinde..
wakwendreeeee kabisa uko
Hii kwendreeee kuna mtu humu alikuwa mshikaji lkn alipo itumia kwangu kwenye post fulani hivi ndo ulikuwa mwisho wa mimi kuchangia post yake...naichukiaaaaaaWakwendreeeeeeee mi napenda Malmö fc tu![]()
![]()
![]()
Potelea mbali, wakishatolewa nabaki na Man United na real Madrid, hata hivyo huko kote upepo usipokaa vyema Luleå Hockey haijawahi kuniangushaHa ha ha wanayolewagwa mwanzoooo tena bila hata point![]()
😀😀 haya sasa hv mda umeenda asbuhi na simamia pambano na kiumande..Unipe mrejeshoNataka niongeze idadi ya mawifi
Ninesikitika...leo sitasinzia....du Diego Simone kaniharibia usingizi wanguBARCA kakubali kupakatwa

Apakatwe tu maana hakuna namnaBARCA kakubali kupakatwa
Usijaliiii😀😀 haya sasa hv mda umeenda asbuhi na simamia pambano na kiumande..Unipe mrejesho

Iniesta leo hakucheza kwani?? IniiieśtaNinesikitika...leo sitasinzia....du Diego Simone kaniharibia usingizi wangu![]()
Ninesikitika...leo sitasinzia....du Diego Simone kaniharibia usingizi wangu![]()
Aiss tuwe na huruma basi kwa timu bora iliyopoteza mchezo kwa bahati mbayaApakatwe tu maana hakuna namna
Nausipate tu kwa kweliKuna manzi nlikua nacheki nae game anashabikia BARCA..... game imeisha kavimbisha mdomo..,, dah sidhani kama ntaiona nyuchi leo!!
Mpira ni magoli tu, na mpira ni dakika 90 mengine maneno tu hata kwenye kanga yapoAiss tuwe na huruma basi kwa timu bora iliyopoteza mchezo kwa bahati mbaya
Mkuu tuhurumiane basi angalau uninunulie bia 1 nipunguze machungu![]()
![]()
![]()
![]()
Nimecheka kwa sauti..... Ushindi raha sana
sio mbaya utatulindia jukwaa mkuuNinesikitika...leo sitasinzia....du Diego Simone kaniharibia usingizi wangu![]()
Naomba uje unifarijiMpira ni magoli tu, na mpira ni dakika 90 mengine maneno tu hata kwenye kanga yapo
Wapi Puyol
