Makapuku Forum

Makapuku Forum

tena walibebwa sana..

Iniesta pale alipodaka mpia alifaa apigwe red card kwa sababu alikiwa mchezaji wa mwisho.

na Gerrad Pique pia alifaa apigwe red card kwa kumshika miguu mchezaji wa Atletico kwa makusudi kabisa.

sasa huoni hapo pia walibebwa sana..
Uzuri ni kwamba pamoja na kubebwa koote huko, wamepigwa!!!
 
Barcelona imekukosea nini had unaichukia saaaana
wala siichukii, ila nacheka sana kuona leo mmetolewa huku hamna sababu yoyote ya kujitetea..
Neyma na Suares wamekabwa sànà leo mpka wanacheza rafu za wazi kabisa na kupigwa yellow card
 
Mimi nipo mkuu japo chaji inanitupa mkono na kila nikifumba macho namuona refa akikataa penat
aiseeee!!
ila tatizo lenu nyie mashabiki wa Barcelona hamjazoea kupata maumivu mara kwa mara..
hivyo ikitokea mistake moja kama hii mnaumia sanaaa..

kawaulize washabiki wa Arsenal maumivu yako vipi? watakujibu cos wao wameshazoea imekuwa kama ni desturi kwao vileee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom