amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Jun 22, 2016 #58,781 Bitoz said: Ushasema "mimba" maana yake wanajamiana ................ Click to expand... Mimba inapatikana pale jinsia mbili zinapokutana, asa kama hakuna fisi dume mimba zitatoka wapi????
Bitoz said: Ushasema "mimba" maana yake wanajamiana ................ Click to expand... Mimba inapatikana pale jinsia mbili zinapokutana, asa kama hakuna fisi dume mimba zitatoka wapi????
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jun 22, 2016 #58,782 amaizing said: Mimba inapatikana pale jinsia mbili zinapokutana, asa kama hakuna fisi dume mimba zitatoka wapi???? Click to expand... Kuna wanyama ambao hakuna dume wala jike yaani mnavisiana anayemwahi mwenzake anamwinamisha but kuhusu hao fisi sina sina uhakika km ni kweli nahisi ni fix tu ..........
amaizing said: Mimba inapatikana pale jinsia mbili zinapokutana, asa kama hakuna fisi dume mimba zitatoka wapi???? Click to expand... Kuna wanyama ambao hakuna dume wala jike yaani mnavisiana anayemwahi mwenzake anamwinamisha but kuhusu hao fisi sina sina uhakika km ni kweli nahisi ni fix tu ..........
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 22, 2016 #58,783 EMMYGUY said: Hahahaaa.... Ubishi mzuri aseee. Click to expand... Sanaaaaa Maana ni changamoto
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 22, 2016 #58,784 jonax said: Did you know.. Hivi unajua kuwa hakuna fisi wa kiume(dume) Wapo wa kike tu? Click to expand... Sasa swala zima la uzalishaji kwao liko vipi?
jonax said: Did you know.. Hivi unajua kuwa hakuna fisi wa kiume(dume) Wapo wa kike tu? Click to expand... Sasa swala zima la uzalishaji kwao liko vipi?
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 22, 2016 #58,785 lothrito said: Duuuuh kama tambara la mashine Click to expand... Ni shiiiida
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 22, 2016 #58,786 shululu said: Leo mabus ya UDART ni machache sana,watu wanakaa vituoni dk45 na bus likija limejaa balaa Click to expand... Sie wa sitimbi wala hatuna shida... Baiskeli tu
shululu said: Leo mabus ya UDART ni machache sana,watu wanakaa vituoni dk45 na bus likija limejaa balaa Click to expand... Sie wa sitimbi wala hatuna shida... Baiskeli tu
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 22, 2016 #58,787 PNC 1 said: Pungueni huko rudini makwenu Click to expand... Hii point hawatataka kuisikia hawa wanaume na wanawake wa dar
PNC 1 said: Pungueni huko rudini makwenu Click to expand... Hii point hawatataka kuisikia hawa wanaume na wanawake wa dar
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 22, 2016 #58,788 Bitoz said: Njoo umchukue mwanao Akili zake mbovu ............. Click to expand... Dogo anasaminisha mzigo
Bitoz said: Njoo umchukue mwanao Akili zake mbovu ............. Click to expand... Dogo anasaminisha mzigo
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 22, 2016 #58,789 amaizing said: Baba watoto Click to expand... Asante wifi..... Dreads nimezielewa vizuri
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jun 22, 2016 #58,790 Jimena said: Hii point hawatataka kuisikia hawa wanaume na wanawake wa dar Click to expand... Wameisikia ila wataanzaanzaje Sasa kwa mfano
Jimena said: Hii point hawatataka kuisikia hawa wanaume na wanawake wa dar Click to expand... Wameisikia ila wataanzaanzaje Sasa kwa mfano
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Jun 22, 2016 #58,791 amaizing said: Mimba inapatikana pale jinsia mbili zinapokutana, asa kama hakuna fisi dume mimba zitatoka wapi???? Click to expand... Kwa mujibu wa jonax ujio wake mpya utakuwa ni kwenye ubishi.. Saa huenda hii fix imekuja ili ubishi ujitokeze
amaizing said: Mimba inapatikana pale jinsia mbili zinapokutana, asa kama hakuna fisi dume mimba zitatoka wapi???? Click to expand... Kwa mujibu wa jonax ujio wake mpya utakuwa ni kwenye ubishi.. Saa huenda hii fix imekuja ili ubishi ujitokeze
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jun 22, 2016 #58,792 Jimena said: Dogo anasaminisha mzigo Click to expand...
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Jun 22, 2016 #58,793 Jimena said: Asante wifi..... Dreads nimezielewa vizuri Click to expand...
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Jun 22, 2016 #58,794 Jimena said: Kwa mujibu wa jonax ujio wake mpya utakuwa ni kwenye ubishi.. Saa huenda hii fix imekuja ili ubishi ujitokeze Click to expand... Duuuu Hii Kali aisee
Jimena said: Kwa mujibu wa jonax ujio wake mpya utakuwa ni kwenye ubishi.. Saa huenda hii fix imekuja ili ubishi ujitokeze Click to expand... Duuuu Hii Kali aisee
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jun 22, 2016 #58,795 Jimena said: Hii point hawatataka kuisikia hawa wanaume na wanawake wa dar Click to expand... Yaani tukafuate mademu hawa? Level ya wafugaji ........
Jimena said: Hii point hawatataka kuisikia hawa wanaume na wanawake wa dar Click to expand... Yaani tukafuate mademu hawa? Level ya wafugaji ........
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jun 22, 2016 #58,796 Jimena said: Dogo anasaminisha mzigo Click to expand... Hapana kakipenda kiatu tu .......
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Jun 22, 2016 #58,797 I hope mko poa Nawatakia mchana mwema woote
amaizing JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 3,616 Reaction score 12,398 Jun 22, 2016 #58,798 Szczesny said: I hope mko poa Nawatakia mchana mwema woote Click to expand... Na kwako pia chief
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Jun 22, 2016 #58,799 Jimena said: Kwa mujibu wa jonax ujio wake mpya utakuwa ni kwenye ubishi.. Saa huenda hii fix imekuja ili ubishi ujitokeze Click to expand... Kwani kuna watu wabishi ? Na uhakika ni fix tu coz NAJUA KUNA WANYAMA HAWANA JINSIA ILA HAKUNA WA JINSIA MOJA TENA NI WADUDU ..........
Jimena said: Kwa mujibu wa jonax ujio wake mpya utakuwa ni kwenye ubishi.. Saa huenda hii fix imekuja ili ubishi ujitokeze Click to expand... Kwani kuna watu wabishi ? Na uhakika ni fix tu coz NAJUA KUNA WANYAMA HAWANA JINSIA ILA HAKUNA WA JINSIA MOJA TENA NI WADUDU ..........
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Jun 22, 2016 #58,800 amaizing said: Na kwako pia chief Click to expand... Thanks Na huo ujio mpya nime upenda