Werrason ataanza kuleta habari nyepesi nyepesi..... (Fix)
anytime kuanzia sasa
We buni tu kakitu kako uwe unaleta kila siku upatapo muda
Itakuwa vizuri sana
Kwa kweli mimi ni mzima na nina afya tele,sina budi kumshukuru mtoa uzima,ni imani yangu pia uwepo wako hapa unamaanisha kwamba uu mzima bukheri wa afya!