Mzima wewe kaka?Ikiwa wewe ni mgonjwa,na ukawa umelala na akaja muuguzi kukuamsha ili akupe dawa za usingizi ili ulale,basi kabla hujakubali dawa hizo mdai cheti chake cha taaluma! Shikamooni!
Morning dada. Mambo yanaendaje!Morning family
Fanya hima kaka.Ngoja nianze kusoma
Naombeni na mimi kitengoAsante, nimeshakaribia
Poaz dadake, kwema pande hizo?Niajez
Nahisi itakuwa ni kati ya bara la Afrika na Australia."Wolper,harmonize kufunga,ndoa katikati ya bahari"
Magazeti ya bongo bhana..
Shukrani mkuu kwa kwel umenihamasisha sana.. naianza leo hiiFanya hima kaka.
Haya sasa usiku mwema!!!
Poa, nmependa ulivyoanza kwanza kwakugonga likes kabla ya ku-postAje aje mkuu jonax?
Ndo magazeti yetu pendwa hayo, na ukifungua ndani si ajabu ukakuta stori tofauti kabisa na hiyo title"Wolper,harmonize kufunga,ndoa katikati ya bahari"
Magazeti ya bongo bhana..
Yako poa....Morning dada. Mambo yanaendaje!
Au unakuta ni kipande ndani ya movieNdo magazeti yetu pendwa hayo, na ukifungua ndani si ajabu ukakuta stori tofauti kabisa na hiyo title
Huwa napenda kuuanza huu uzi kwa kusambaza upendo kwanzaPoa, nmependa ulivyoanza kwanza kwakugonga likes kabla ya ku-post
......
Mwenye wivu ajinyonge
.............
Haha hao jamaa ni mafundi wa kunogesha hyo page ya mwanzo aiseeAu unakuta ni kipande ndani ya movie
Werrason ataanza kuleta habari nyepesi nyepesi..... (Fix)Naombeni na mimi kitengo
Maana naona wewe unadili kwenye magaazeti, yule kwenye top ten na bitoz kwenye mpira.
All in all safi sanaaaa na muendelee hvyo hvyo