Sijasoma bible tokea kitambo sana.. ila nahisi sijakoseaHuna uhakika.
Ni kweli hata mimi hiyo mistari nmeiimba sana kupitia wimbo. Ndo mana ikakaa akilini mwangu sana na wala nisisahauNi ya kutoka katika Zab ila imefanywa popular sana na kwaya moja anayoiimbia...Im kidding..
Kuna watu wana ubinafsi, hali inayowapelekea watu wengi kupungua.Jaribu kuchunguza day after day member wanazidi kupungua.. na siyo kwamba ni ubusy wa kazi, Noooo.
Hata mm pia ile morali ya mwanzo cna tena
why......??
Kweli kabisa ila tusiamshe vilivyolala..Kuna watu wana ubinafsi, hali inayowapelekea watu wengi kupungua.
Anashuka mtu kwenye daladala anapanda mtu safari inasongaJaribu kuchunguza day after day member wanazidi kupungua.. na siyo kwamba ni ubusy wa kazi, Noooo.
Hata mm pia ile morali ya mwanzo cna tena
why......??
Fanya kusoma angala mara mbili au tatu kwa wiki.Sijasoma bible tokea kitambo sana.. ila nahisi sijakosea
Mzima..habari ya asubuhiMzima wewe?
Tumefanyaje tena sie makapuku jamani?
Ni ukweli mtupu kaka. Pamoja sana.Kweli kabisa ila tusiamshe vilivyolala..
Cha msingi tuepuke shari tu. ukiona mtu anatafuta shari unampotezea tu.. coz naamini "kunyamaza kimya ni pigo kubwa kwa mjinga"
Hujambo??Mzima..habari ya asubuhi
Ngoja nianze kusomaFanya kusoma angala mara mbili au tatu kwa wiki.
Mzima..habari ya asubuhi
Karibu sana mamaMorning family
Take It EasyNi ukweli mtupu kaka. Pamoja sana.
Salama kaka, nipe habari.Mzima..habari ya asubuhi
Morning my dada...Hope ndo unapanga panga magazeti tayari kwa kuyarusha hapa..Hujambo??
Kabisa mzigo ndo unakuja kama ifuatavyo kwa hisani ya wa kimataifaMorning my dada...Hope ndo unapanga panga magazeti tayari kwa kuyarusha hapa..