Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
wewe baki kama mpangaji tu, na siyo kujitia baba mwenye nyumba😀😀😀😀 samahani boss, mweh!!! Mie wacha niuchune pembeni niwe nadmire tu wapnz wa chit chat
wewe baki kama mpangaji tu, na siyo kujitia baba mwenye nyumba😀😀😀😀 samahani boss, mweh!!! Mie wacha niuchune pembeni niwe nadmire tu wapnz wa chit chat
Mapenz mabayaa sometimesUtalia mkuu,mapenzi mabaya.
Tena ni la usiku!![]()
![]()
![]()
darasa gani la home???
Don fall in love with a dreamerMapenz mabayaa sometimes
anhaa basi sawa...Ushamtaja pale juu na mshana kashakwambia msimu wa kafara huuNatafuta kipenz😉
Naupenda huo wimboDon fall in love with a dreamer
Mkuu acha tu, hawa wenzetu hawana hurumaMapenz mabayaa sometimes

kama unataka kuthibitisha kuwa Mapenzi yanauwa, sasa endelea kuingia anga zangu

kauangusha wapi!?? nimsaidie kutafutaUbavu wake
Pole kwa safari, karibu tena Mkuu.Nimerudi salama toka msata japo anga lilichafuka kidogo natumaini kila kona na kila kapuku wote hakuna shida
Alaf wanasemaa wana moyo wa hurumaaaMkuu acha tu, hawa wenzetu hawana huruma![]()
![]()
![]()
nashindwa kuwaelewaahahhahaa! asante edenNawe umekuja huku aggyjay karibu ndani ya makapuku forum
Mimi pia nashangaaAlaf wanasemaa wana moyo wa hurumaaanashindwa kuwaelewaa
Ngoja nifanye hivyo. Ila mimi nimekuona wewekauangusha wapi!?? nimsaidie kutafuta