Makapuku Forum

Habar za usiku wakuu, baada ya maombi ya wadau kuwa top ten ya watu wafupi zaid duniani, nimeona ni bora nisicheleweshe ombi hilo

NB, picha hazija kaa sawa kwa sababu za kimtandao nawataka radhi kwa hilo

Number 10, Stacey Herald - 28 inches


Huyu yeye alizaliwa Kentucky , huko USA, na ana tatizp linaitwa osteogenesis imperfecta, ameolewa na mwana mazoez mmoja mwenye fut 5 na nchi sita
Kuanzia mwaka 2005 hadi 2009 alijifungua watt wa kike watatu
Wa wili wali rithi ugonjwa wake
Huyu mmoja ni mzima ana amshinda kulea kwa sababu anakua haraka kumzidi yeye

Number 9, Hatice Kocaman - 28 inches



Alizaliwa huko uturuki, ana mattzo ya ukuaji wa mifupa yaan genetic bone conditions, yeye anasema akiwa mdogo ali hate ufupi ila kwa sasa kwa kuwa ufupi unampa umaarufu anahis angekuwa mfupi zaid ingekuwa poa zaidi
 
Bonge la somo
Endelea
............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…