Nakuona kimya kimya tu nyuma ya pazia..Kinachoonekana ni kitu cha M4C tu...
Hahahhahahahahha kali sana hii inaplay kote kote....yap hyo inaweza someka kama
MAKAPUKU 4 CHANGE
Hahahhahahahahha kali sana hii inaplay kote kote....
Hahahahahah taja polepole mkuu jamaa anataka asifiwe tu...Alisema M..Inawakilisha jina lake...hahahahha jamaa alikuwa mtata sana..si unajua hata yule mkuu asiyetaka kukosolewa aliigaga kipindi cha kampeni
Hahahahahah taja polepole mkuu jamaa anataka asifiwe tu...Alisema M..Inawakilisha jina lake...hahahahha jamaa alikuwa mtata sana..
Unajifari eeeMy patience my everything
Hahahahah duh hapna mkuu ..M7 inatosha kulima kiteto ekari 30 za mahindi mpaka kuvuna kabisa..huyu ni kumtema tu..Yule jamaa wa CDTI waliokuwa wamemng'ang'ania alilipa ile faini?.ni mtata had sasanikipata m7 nitamchana ili wakinikamata nimlipe
Alilipa na mwingine Leo yupo mahakamaniHahahahah duh hapna mkuu ..M7 inatosha kulima kiteto ekari 30 za mahindi mpaka kuvuna kabisa..huyu ni kumtema tu..Yule jamaa wa CDTI waliokuwa wamemng'ang'ania alilipa ile faini?.
Duh Baba Jesica kaamua hataki utani...Ile uhuru wa mtu kutoa maoni yake wa enzi ya mkwere hakunaga hiyoo...Alilipa na mwingine Leo yupo mahakamani
Mwingine adakwa kwa kumkashifu Rais Magufuli kwenye mtandao wa "WhatsApp"
Duh Baba Jesica kaamua hataki utani...Ile uhuru wa mtu kutoa maoni yake wa enzi ya mkwere hakunaga hiyoo...
Aisee nimeisoma hii waliomdaka chalii tena..Wako serious sana hawa watu wanasneef mbaya kabisa...tutamkumbuka mzee wa msoga
Ile trilion moja tulinyimwa ki haki kabisaAisee nimeisoma hii waliomdaka chalii tena..Wako serious sana hawa watu wanasneef mbaya kabisa...