Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Poa mkuu, jumapili imeendaje kwako?Safi kabisa Mussolin5
Mambo vp?
Poa mkuu, jumapili imeendaje kwako?Safi kabisa Mussolin5
Mambo vp?
Kama sikukuu ya Halloween
Sijui tunamsaidiaje sasa huyu jamaaMacho yake yako busy kwa warembo 24/7 mpaka anasahau kumuhudumia wife
Inaisha vizuri cuzoo. Sahivi najiandaa kulala si unajua kesho majukumu yanaendeleaMzima sana, week end yako inaishaje??
Mke wangu wew ni shahidi nimetulizana but Yule mjinga alijileta kwetu akaanza kutushambuliaMie nina kila kitu
Iko poa kabisa,Poa mkuu, jumapili imeendaje kwako?
Khaaa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
My cuzzo katika ubora wake[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]Mie nina kila kitu
Nitafanya maamuziMke wangu wew ni shahidi nimetulizana but Yule mjinga alijileta kwetu akaanza kutushambulia
Wanatisha mno.....
Mi niko njema kabisa kiongoziKweli mkuu, mi niko poa, sijui wewe!
Yaaaani, masaa machache tu yamebakia ifike jumatatu tena[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji42] [emoji42]Inaisha vizuri cuzoo. Sahivi najiandaa kulala si unajua kesho majukumu yanaendelea
Huyu akiwa mume wangu anahama tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kesho j3 daah...inanichosha..ila no way out!!Iko poa kabisa,
Sasa niko tayari kabisa kuikabili wiki ijayo
Niko katika viwango vya TBS[emoji23] [emoji23]My cuzzo katika ubora wake[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Hahhaha eti sura ngumu kuliko jiwe, mi niko poa kabisa mkuuKipendacho roho dawa mkuu
Kuna watu wanamponda Mengi lakini wao wana sura ngumu kuliko Mawe,
Habari ya wewe lakini?
Mi namnyima kabisaHuyu akiwa mume wangu anahama tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Blue Monday[emoji31] [emoji31] [emoji31]Yaaaani, masaa machache tu yamebakia ifike jumatatu tena[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji42] [emoji42]