Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Post zangu ni kama za Gwajima nikitamka lazma wanitafute ila ww zako kama za Yule mbunge wa Huku mkoani kwetu wa sanamu la diamond![]()

Post zangu ni kama za Gwajima nikitamka lazma wanitafute ila ww zako kama za Yule mbunge wa Huku mkoani kwetu wa sanamu la diamond![]()

Kweli kabisa nimekuamsha ukasema baridi Kali. Lakini matokeo ndo Kama hivyo mtu kapigwa wiki![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aisee.Mmoloco kamualibu PapaaHe is overrated!!
Ni Valentina tu ndo hajaenda kanisani leo!Wangapi hatujaenda kanisani leo?
Ha haa na weweNi Valentina tu ndo hajaenda kanisani leo!
Basketball![]()
![]()
![]()
Aisee.
Week!!!,hiyo imekuwa rede sasa....
Tena we ndo kabisa umegombana na kanisaWe mwenyewe![]()
![]()
![]()
Mi nilichelewa kuamka leo,we sababu yako ni ipi?Na sijaenda![]()
![]()
![]()
![]()
Niko kijijini kikazi, na sijui kanisa liko wapiMi nilichelewa kuamka leo,we sababu yako ni ipi?
HabariNiko kijijini kikazi, na sijui kanisa liko wapi
Naona unajisemaTena we ndo kabisa umegombana na kanisa

Okey mwayaNiko kijijini kikazi, na sijui kanisa liko wapi
Waalaa mie sio mtoro kama wewe. Hivi unajua mlango wa kanisa ulipogeuziwa?Naona unajisema![]()
HelloooOkey mwaya
Waalaa mie sio mtoro kama wewe. Hivi unajua mlango wa kanisa ulipogeuziwa?

MkuuHabari
So ungeuliza!Niko kijijini kikazi, na sijui kanisa liko wapi