Nafaham hilo Dadake, but wapo ambao hajui pa kufuatilia matokeo na pia hawana access ya kuangalia live, hao ndo wanafaidi moja kwa moja toka bitoz,....mzima lakini!!
Shule 4m 1 na 4m 4 huwa hawapatani kabisa ni sawa na wakongwe v makapuku .....hawapatani kwa jambo lolote na huwezi kuwapatanisha nakumbuka nikiwa 4m 1 ilikuwa ni bora tufungwe tukicheza mpira na 4m 2 au 3 lkn sio 4m 4 na pia mademu wa 4m 1 walikuwa makauzu kinoma kuwakubalia mabishoo wa 4m 4