Leo tuna cheko watu warefu kuliko wote duniani
Hii list ina jumuisha miaka yote
Number 10, Vikas Uppal (8 ft 2 in or 2:49 m).
Alizaliwa mwaka 1985 na alifariki mwaka 2007 huko kwao india, mpaka ana fariki alikuwa ndo muhindi mrefu kuliko wote kwao huko
Number 9, Don Koehler (8 ft 2 in or 2:49 m).
Mpaka ana fariki alikiwa ndo mtu mrefu kuliko wote miaka ya 1970, lakini ana pacha wake wa kike ambaye ana futi 5 na nch 6 tuu