briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Niaje kamanda?Naona mwendokasi
Niaje kamanda?Naona mwendokasi
Cjaumiza wala cjala mdogo bali aliyejitambua tu![]()
![]()
basi kama ulizoea kuumiza vya watu nawe zamu yako
Muosha huoshwa
Cjaumiza wala cjala mdogo bali aliyejitambua tu
basi sawa nami nitakuwa Mkwe mwemaKwema kabisa. NiambieNiaje kamanda?
Hahaha huwa unanivunja mbavu sana ukiweka hiyo lafudhi ya kikongo aiseeNipo kamiri kama kifaru ya Geshi.
Mkuu nina mtoto mkali hadi naogopa![]()
![]()
![]()
basi sawa nami nitakuwa Mkwe mwema
Fresh tu, mishe vp?Kwema kabisa. Niambie
asante na pamoja sana mkuu...wish to be that!!!!!!!!!!!!Oooh happy birthday mkuu 4G Mungu akupe maisha marefu yenye furaha tele![]()
![]()
Babu katumia saikolojia ya juu kabisa kujibu, mi ningejikuta naenda kwenye baiolojia moja kwa mojaSiku moja binti mmoja aliamua kumwuliza babu
yake maswali ambayo yalikuwa yanamwumiza
sana kichwa.
Jambo hili lilikuwa linamkosesha
raha sana siku zote!
Mjukuu: Babu, mimi kuna jambo ambalo
linanisumbua sana kichwani!
Babu: Lipi hilo mjukuu wangu?
Mjukuu: Hivi
kwa nini
mwanaume
akiwa na wanawake wengi anasifiwa na
kuonekana shujaa sana kwenye jamii lakini
mwanamke akiwa na wanaume wengi
anaonekana hafai na malaya?
Babu: Mjukuu wangu kuna jambo moja hulijui,
funguo moja ikifungua makufuri mengi watu
wataipenda sana hiyo funguo na wataiita ‘master
key’ lakini kufuli likifunguliwa na kila ufunguo
hakuna atakayelitaka kufuli la hivyo!
Ujumbe bila picha haunogi picha please pmMkuu nina mtoto mkali hadi naogopa

Mkuu Mungu asikupe tu maisha marefu.. Akupe maisha marefu yanayoeleweka zaidiasante na pamoja sana mkuu...wish to be that!!!!!!!!!!!!
Ulisha mwonaUjumbe bila picha haunogi picha please pm![]()
Bado cjamuona mkuuUlisha mwona

Mkuu maisha marefu kwakoasante na pamoja sana mkuu...wish to be that!!!!!!!!!!!!
OhoooBado cjamuona mkuu![]()
Babu katika ubora wakeSiku moja binti mmoja aliamua kumwuliza babu
yake maswali ambayo yalikuwa yanamwumiza
sana kichwa.
Jambo hili lilikuwa linamkosesha
raha sana siku zote!
Mjukuu: Babu, mimi kuna jambo ambalo
linanisumbua sana kichwani!
Babu: Lipi hilo mjukuu wangu?
Mjukuu: Hivi
kwa nini
mwanaume
akiwa na wanawake wengi anasifiwa na
kuonekana shujaa sana kwenye jamii lakini
mwanamke akiwa na wanaume wengi
anaonekana hafai na malaya?
Babu: Mjukuu wangu kuna jambo moja hulijui,
funguo moja ikifungua makufuri mengi watu
wataipenda sana hiyo funguo na wataiita ‘master
key’ lakini kufuli likifunguliwa na kila ufunguo
hakuna atakayelitaka kufuli la hivyo!