Makapuku Forum

Makapuku Forum

........................................
Makapuku tumezawadiwa TROPHY POINTS.....angalieni profile zenu ambaye hajaongezewa basi ana gundu
...........................................
 
...............................m
Makapuku tumezawadiwa TROPHY POINTS.....angalieni profile zenu ambaye hajaongezewa basi ana gundu
...........................................
Mbona mda sana au ndio umeona leo
 
Kuna wadada wanapenda pesa mpaka wameanza kuwapenda watoto wenye mashilingi kichwani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
"Hakuna kitu kibaya Kama kumpa lift mzungu. Hata akae kiti cha nyuma itaonekana yeye ndo mmiliki wa gari na ww ni dereva wake. Dawa kumpakia kwenye buti."

[emoji121][emoji121][emoji121]

-Dereva wa Mugabe- [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee [emoji30]
 
Back
Top Bottom