Asee unaenda luleft maeneno gani vle!!?Pamoja mkuu!!
Hahhahhaha....na matunda huko yanapatikanaUfike salama.
Usisahau Ngogwe, Bamia,vutunguu na nyanya.
Nimeamka Salama...Hahaniko poa mdogo wangu kwa patience3, umeamkaje kaka
Maeneo yapi...Ndio ila kitambo sanaaa
Mkuu mlalo nimekaaa saana.....pale mkongoloniSio kufika tu wenzako tumeishi huko hadi Mlalo kule juu kabisa na Oct_Nov naweza kuwepo huko kufanya mchongo
..........
Ha hajhahaha.....hebu miache mtalaka wako buanaah.....Nakumbuka sumbai alifukuzia gari but hakulikia, nikumbushe bhana
Mkuu Mimi napajua...Kweli wewe umekaa huku!! Mlalo mkongoroni unapajua?
Si ndio wanapewa na vigoda wanakaaaaa kwenye gali....alafu shambalai vumbi saana paka ukifika mlaloMi Shambalai nilipandaga mara 1 tu kisha nikasusa 7bu likifika Mombo Wasambaa wanajazana km ng'ombe halafu wanatoa mate km mvua
.......
Weupe ila mikia sio kivileeeeManning Nice kisha yakaongezeka Dar Express ila mara nyingi nilikuwa naenda kuvizia Mombo bus zinazotoka Arusha/Moshi km nakuja Joto City 7bu sipendi kufika mchana au jioni
Halafu mademu wa Kisambaa wakali yaani weupe halafu wana mikia na sura laini ....Bitoz uvumilivu ulinishindaga huko na kile kibaridi
.........
Si ndio wanapewa na vigoda wanakaaaaa kwenye gali....alafu shambalai vumbi saana paka ukifika mlalo
Nlipanda miaka Hiyo msambaa mmoja kaka pemben yangu kila Basi likisimama Mara kanunua indi LA kuchemsha, Mara mayai...Mara kanunua ndizi tulipofika soni alitapika saana dah
Bado zinatambaKumbe shambalai bado zipo mpaka Leo?
Mkia ni mkia sio lazima uwe km wa kengeWeupe ila mikia sio kivileeee
Ndio jegestali (wakati niko chekechea lakiniUliwah kukaa lushoto
Umeenda tu au utakuwepo huko muda mrefu?Sawa...Karibu sana Kitivo
Poa sanaaZipo za kutosha! Zilizokufa ni Mbaruku Travellers Coach
Ndo stand ya Siku hiziBado zinatamba
NI proud Sambaa ....pale IJA sokoni kuna shule pia inaitwa SHAMBALAI
........