Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Mie mzima Wii miss you so muchMamy uko poa???
Mie mzima Wii miss you so muchMamy uko poa???
Anza kuuza kick usitoe bure![]()
![]()
Thanx mamyMie mzima Wii miss you so much
Ndio maana nimesema akifungwa yeyote mkuu hizi ndio team zangu ninazoshabikiaItaly hachomok nakuapia
Habari yako shemejiMamy uko poa???
Nzuri sana,kama unavyoonaHabari za hapa
Nyongeza itaongezekaje wakati zawadi nishakuandalia na risiti ya EFD ninayo? Au unataka nikiwa nakuletea zawadi nisimamishwe njiani nikutwe na item ambayo haipo kwenye risiti nipelekwe staki shari kwa kosa la kuhujumu uchumi?Nyongeza
Teyari......weewe je????Umeshafuturu??
Mimi tayariTeyari......weewe je????
Niadje Shem??Habari yako shemeji
Mimi mzima kabisa shem.Niadje Shem??
Shem patience123 kaolewa na sumbai nifanyeje niko 1Thanx mamy
Now nipo sanaaa
Jumatatu iko poa sanaaaMimi mzima kabisa shem.
Habari ya j3
Basi tena, muache tuShem patience123 kaolewa na sumbai nifanyeje niko 1
Poa Mkuu.Jumatatu iko poa sanaaa