Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,050
Najua hajaolewa.Unafurahi badala ulie
Km mnaelewana sana mnona Simply c Kuna PM mnapeana hadi # za simu but inahitaji watu watunza siriHivi mtu akipata shida sisi members wengine tutajuaje?
Ha hahaha.....amalize kaziAmletee na goma kabisa
Unashangaa....tena
Aisee,ila nasikia hizo used zina experience nzuri sana.la huko shamba ndo zuri ya mjini mengi used
Wasalimie
Hao totoz wa huko watakuwa kama hawa kambare tu.Ndo pakutambia na kung'oa totoz za kijanja
..........
Habar mbaya kwa youngbloodKaolewa
Ha haaa kumbe unataka experience?? Wenzio wanataka NewAisee,ila nasikia hizo used zina experience nzuri sana.
Kabisaa means asijegeuka chiziHa hahaha.....amalize kazi
Unashangaa....tena
Hii inabidi ifanyike mkuu,maana kwamfano mkuu wewe ukigongwa na mabasi ya mwendo kasi bila kuwa na contacts zako hatutajua....Km mnaelewana sana mnona Simply c Kuna PM mnapeana hadi # za simu but inahitaji watu watunza siri
.............
Majungu hayo sasaHuyu mwajuma ndalandefu pia anapatikana mtaani kwenu??
Anajifariji Sana lakini ukweli nahrene ashavalishwa shelaHabar mbaya kwa youngblood
Hahahaha,new magumashi tu.Ha haaa kumbe unataka experience?? Wenzio wanataka New
Goroli??? LA haulaaaaHujalazimishwa
Ubishoo ndo maana mnapata magonjwa ya ovyo na vipumbu kidogo km goroli
.......
Yupo mtu mwenye # zangu na tunajuana na ni mtu anayeheshimu PRIVACY japo yupo hapahapaHii inabidi ifanyike mkuu,maana kwamfano mkuu wewe ukigongwa na mabasi ya mwendo kasi bila kuwa na contacts zako hatutajua....
Hii inabidi ifanyike mkuu,maana kwamfano mkuu wewe ukigongwa na mabasi ya mwendo kasi bila kuwa na contacts zako hatutajua....
Majungu hayo sasa
mabinti wakali orijino wanapatikana Uswaz na wanajua kupagawisha mtu balaa
.......