Ikurudie tu ndugu,heshima mnazo ninyi wa mjini huko huku shamba tuna tabia za mbuzi mbuzi tu na wanyama wengine wafugwao...nikija mjini nitakuletea muhogo na matufaa!
Ukimpata aliyetoka kwenye maji taka baridi yaliyotoka vyoo vya ushuani ni watamu sana...tena umpate Kambale aliyekula mabaki ya maji taka msimu wa sikukuu ni watamu sana!