Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Kabisa, wametoka jasho mpaka kwenye meno
Mpira magoli tu
Mwisho wa siku wezi wamekaa
Kabisa, wametoka jasho mpaka kwenye meno
Itakuwepo vipi wakati mwenye hati miliki hukuwepoJamani wakuu mbali mbali woote mlale vile mnavo weza
Ksho tuonane hapa, ntakuepo kuleta quote of the day nadhan sku mbili hzi haikuepo
Spain pia sio lolote, timu imewajaza kina pique itakuwaje nzuri?? Wakwendreeeee![]()
![]()
![]()
Hilo mam tume lisettle tayari, ila kwa spain ndo kuwasapot nashindwa, labda wacheze na taifa stars ndo ntawasapot
Nawe pia mkuuUsiku mwema wakuu
Hapo sawaaaIyo ilikuwa before mech haijesha
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Spain pia sio lolote, timu imewajaza kina pique itakuwaje nzuri?? Wakwendreeeee

May he R I Pkazi IPO![]()
Nimewapa habari TU
Usiku mwema
..........
Hehehehe this msg though![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa kweli ngoja nisema kwa kiswahili ndio itanoga
Nakupenda sana
![]()
Usilale basi tufikishe kwanza 50kHujaomba picha hapo![]()
May he R I E P
Hehehehe this msg though
Hivi unanipendea nini jamani??
Hebu funguka kidogo basi

Kichwa sasa... Kinaweza pasukaHahah
Mambo yako tuu
You smart
Kuna vitu vya kuangalia kwa mtu
Intelligence, energy and intergrity, akikosa intelligence hata hvo vingine ana kosa
So you got em all
Aaah i luv ya![]()
![]()
![]()
![]()