Kabisa, wametoka jasho mpaka kwenye menoHahaha
Tumepigana bro usipanic
Mi za leo zote sizipendiIla Leo sijakosea![]()
![]()
![]()
KabisaHehehe
Kuna shida hapo
Mi za leo zote sizipendi
Ila tukiongelea Romania ndo bora tu France ishinde
Wezi ChaliiiiiiHaaaaahaaaa
Swadaktaaaaaanaaaaa!!!!Romania
Watu wa porini
Weziii na siwakubaliiii
Na siwashabikii tenaaa (isipo kuwa kama opponents wao ni spain)
Nite nite.........................
USIKU MWEMA KAPUKUZ
Tuonane morning
.............................