Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Mdororo wa uchumi mifukoni haujakugusa???Poa kabisa
Mdororo wa uchumi mifukoni haujakugusa???Poa kabisa
Unataka kunipa?Mdororo wa uchumi mifukoni haujakugusa???
Naweww piaaaNimewamisi sana washkaji. Naamini mko poa woote. Siku njema
HahahaHa haaa nimerudi kimwendo kasi .najua sahivi hatuna ugomvi hadi ligi itakapoanza![]()
![]()
![]()
....hujajibu swali!....Magu hajafanya ziara ya ghafla osifini sore Ofisini kwenu?Unataka kunipa?
Daah! Mapenzi tulianza lini?
PNC 1 yupo Ibiza???Hahaha
Sasa hivi peace
Nikajua umekuwa kama PNC 1, umeenda na wewe Ibiza kupumzika
Hajafanya bado.....hujajibu swali!....Magu hajafanya ziara ya ghafla osifini sore Ofisini kwenu?
Hamna,Ndio nimekupenda mydia, kuna ubaya?
Basi huko kutakua shwari.Hajafanya bado.
Kwenu vipBasi huko kutakua shwari.
Wameziba njia sie tumechimba chini, tukaenda ibukia mbele kama kawa kama dawa!!!Kwenu vip
Hahahaa hongeraWameziba njia sie tumechimba chini, tukaenda ibukia mbele kama kawa kama dawa!!!
When things get tough....only the tough get goingHahahaa hongera

Upako umepungua Sana humu ndani
NI SABABU YA HUZUNI YA KITENDO CHA KIMWENDOKASI CHA UZIMWAJI WA SIMU ZOTE KESHOKUTWA TU HAPONi kweli kabisa
Eeeh
Msimu umeisha ameenda kupumzika
atakuwa huko na akina DrinkwaterNi kweliWhen things get tough....only the tough get going![]()