Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Hello kakaHello dada
Hello kakaHello dada
hahahahha wamemfanya puch bagHahahahaa
Yaan kila kitu wana bandika jina lake
tehe unasahau mambo ya mchumia juani ee???Ikifikia kuuza nambie tuje tugawane faida![]()
Barikiwa....Shemdarling usijali
Kanisani lazima niende
Na neno ntaliweka hapa shem
Dada yangu....nakusalimu katika jina....Za mimi ni poa mamii. Siku yako imeendaje?
Piga vituu we only live once![]()
Wazee wa shida mpo![]()
Drink responsibly
..........
Kwemaa kabisaa.....we miss uhappy tu mkuu vipi hukoo??
Habar ya usiku Mr dumila
Hahhha hahhha unapita??? Okey...Mpo? Napita tu hapa leo week end wakuu
Leo uniote kka yako..Uwiii hiyo ndoto ikurudie wewe
Najeeeeer braza brazaaHelloooo pipooooz
Fresh kakaNajeeeeer braza brazaa
Namiss kusikia toka kwako dadakeHello kaka
Kweli eeeBarikiwa....
Ni fahari kuwa na Dadashemej kama wewe
Jina ganiDada yangu....nakusalimu katika jina....
Naona nimefikisha 47kFresh kaka
Hahahaha 47k naona Leo umebahatishaHahhha hahhha unapita??? Okey...
Week nd njema ila kwsho uweke magazet mapena
Shwari ndugu yanguThe name mambo