eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
This is TZzzz banaa, nchi isiyoisha matukio na inayoishi Kwa matukioHii nchi ni ya maajabu yaani mtu hana sifa za kuingia chuo kikuu anaruhusiwa
Then baadae wanawafukuza kama mbwa pasipo utaratibu !!!
Hii inapatikana tanzania tu
Kauli ya mkuu wa kaya kuwa wanaopita barabara za mwendo kasi wafunguliwe matairi yauzwe hili ndio kubwa kwa sasaThis is TZzzz banaa, nchi isiyoisha matukio na inayoishi Kwa matukio
Now story za sukari tunaweka pembeni tunahamia kwa wanachuo kikuu wa form four....
Wonders shall never ends in Tanzania
Mungu Ibariki Africa
Mungu bariki Tanzania
Aisee ...... Sio kwa kuadhirika hukonapita..
MmhhhhKauli ya mkuu wa kaya kuwa wanaopita barabara za mwendo kasi wafunguliwe matairi yauzwe hili ndio kubwa kwa sasa
Hahahaaaa hii hatari sasa kwa kweliThis is TZzzz banaa, nchi isiyoisha matukio na inayoishi Kwa matukio
Now story za sukari tunaweka pembeni tunahamia kwa wanachuo kikuu wa form four....
Wonders shall never ends in Tanzania
Mungu Ibariki Africa
Mungu bariki Tanzania
Huyu prezdaa nae ni mtu wa matukioKauli ya mkuu wa kaya kuwa wanaopita barabara za mwendo kasi wafunguliwe matairi yauzwe hili ndio kubwa kwa sasa
Sasa nimetokea kumwogopa rais zaidi ya ukoma, hana chembe ya huruma utafikiri hao watoto walijiamulia kuingia chuoni wenyewe.Hii nchi ni ya maajabu yaani mtu hana sifa za kuingia chuo kikuu anaruhusiwa
Then baadae wanawafukuza kama mbwa pasipo utaratibu !!!
Hii inapatikana tanzania tu
Petrol nayo itapanda tuanze kujadili tuache ya udomThis is TZzzz banaa, nchi isiyoisha matukio na inayoishi Kwa matukio
Now story za sukari tunaweka pembeni tunahamia kwa wanachuo kikuu wa form four....
Wonders shall never ends in Tanzania
Mungu Ibariki Africa
Mungu bariki Tanzania
Usipite sema nenonapita..
Naona GIZA nene Mungu aingilie katiMmhhhh
Hiyo kaliiii,,, Tanzania yangu sijui itakuwaje after 4years
Sidhani kama anaelewa athari ya maneno yakeHuyu prezdaa nae ni mtu wa matukio
Mbaya zaidi hadi mkuu wa kaya anaitupeleka kimatukio tuuuHahahaaaa hii hatari sasa kwa kweli
Wacha tuisome namba eehhhhSasa nimetokea kumwogopa rais zaidi ya ukoma, hana chembe ya huruma utafikiri hao watoto walijiamulia kuingia chuoni wenyewe.
Hajaguswa hata na matukio ya ubakaji kwa wasichana!!!
Namba inasomeka sasa
Kwa kweli hii ndio Tanzania ya viwandaPetrol nayo itapanda tuanze kujadili tuache ya udom
kwa kweli kapige vitwanga ila usizidishe sanaDuh mishe zimekaba kichizi waungwana morning to night
Now naelekea viwania kupiga Kitwanga hadi usiku mzito.....si mnajua life is too short
.........
Mi nilistaajabu sanaaMmhhhh
Hiyo kaliiii,,, Tanzania yangu sijui itakuwaje after 4years
Sio kitotoHuyu prezdaa nae ni mtu wa matukio