sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Ha haaa.....umevuka Salama.....tcra wamekukosakosa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi pia naona mambo fresh tyu
Ha haaa.....umevuka Salama.....tcra wamekukosakosa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi pia naona mambo fresh tyu
ThanksHalafu pasi zako kule mahala nimezielewa vizuri..
Keep it up
hapana sio yeye mkuu,,hiyo ni picha tuHiyo profile..... Daaah anyway Huyo ndio mkeo???
Ungeoata profile flani hvi ya kibabe inge ondoa utata kwa kweli![]()
tatizo nini mkuu
Lala basi...... Sio unaaga tuuuuuHa haa kiongozi Hiyo dp imenifanya nipoteze usingizi....
Anyway ngoja niulazimishe tuu
Nyt nyt
Kweli aisee..... Walale tu maana hakuna namna sasa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mlale sasa nyie msha anza hadi kuchanganya mafaili
Mkuu heshima kwako piaHeshima kwako kiongozi natambua uwepo wako.....mkuuu![]()
Watamkamata mwakaniHa haaa.....umevuka Salama.....tcra wamekukosakosa
Goodteh teh mimi nina mke mmoja tu chief na sihitaji michepuko
Mda ndo huu kwa kweliKweli aisee..... Walale tu maana hakuna namna sasa
ok mimi ni mkurya, ni afisa wa jeshi na ni mganga wa kienyeji pia nina mke (afisa magereza) ni mtoto wa mpiga ramli mmoja maarufu tuUngeoata profile flani hvi ya kibabe inge ondoa utata kwa kweli
Hahahaok mimi ni mkurya, ni afisa wa jeshi na ni mganga wa kienyeji pia nina mke (afisa magereza) ni mtoto wa mpiga ramli mmoja maarufu tu