Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Leo pumzikaMsingi wa sheria ni vifungu na kesi
Kwa leo nimechoka but namumbuka ni "mtoto chini ya 18yrs ndo anaolewa kwa ruhusa ya wazazi " sio 15 yes nikiwa FREE basi kesho nitaitafuta LAW OF MARRIAGE ACT (sheria ya ndoa Tz) ninayo kabatini
![]()
![]()
![]()
.........
Kesho utuwekee

