Makapuku Forum

Makapuku Forum

RAIS JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
Jumla ya Walimu wapya 40,000 ambao wamehitimu mwaka 2015 kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini walitakiwa kuajiriwa rasmi na Mamlaka za Serikali za Mitaa (Halmashauri) ifikapo tarehe 01 june 2016. Kati ya idadi hiyo walimu wa ngazi ya Cheti (Daraja III A) ambao hufundisha katika shule za Msingi ni 19,973 na walimu wa shule za sekondari ni 20,027 (wakiwemo 9,206 wa Stashahada na 10,821 wa shahada)

Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inapenda kuwajulisha kuwa Mchakato huo umesimama kwa muda mpaka Mamlaka husika itakapokaa tena kufanya mchakato huo kwa umakini zaidi.Hivyo Mamlaka inawaomba wahusika kuwa na Uvumilivu na Subira mpaka pale mchakato utakapokamilika.

Imetolewa na :
Kitengo Cha Mawasiliano-TAMISEMI
Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
31/may/2016.

Watawaua vijana hawa serikali mweer!!!
 
Ha haa.....naona vijana wanazidi kuisoma namba

Hivi kuna kapuku ambaye ni mwalimu tarajali????

Mungu awabariki serekali iwakumbukeee
 
RAIS JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
Jumla ya Walimu wapya 40,000 ambao wamehitimu mwaka 2015 kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini walitakiwa kuajiriwa rasmi na Mamlaka za Serikali za Mitaa (Halmashauri) ifikapo tarehe 01 june 2016. Kati ya idadi hiyo walimu wa ngazi ya Cheti (Daraja III A) ambao hufundisha katika shule za Msingi ni 19,973 na walimu wa shule za sekondari ni 20,027 (wakiwemo 9,206 wa Stashahada na 10,821 wa shahada)

Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inapenda kuwajulisha kuwa Mchakato huo umesimama kwa muda mpaka Mamlaka husika itakapokaa tena kufanya mchakato huo kwa umakini zaidi.Hivyo Mamlaka inawaomba wahusika kuwa na Uvumilivu na Subira mpaka pale mchakato utakapokamilika.

Imetolewa na :
Kitengo Cha Mawasiliano-TAMISEMI
Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
31/may/2016.

Watawaua vijana hawa serikali mweer!!!
Serikali hii ni jipu kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom