YeeeeeeJinsi ya kuedit post
Bonyeza ile post husika bila kuachia mpaka ijihighlight then achia, angalia icon zitakazokuja kisha chagua ile kama kijipen au ile alama ya spana, iclick kisha utaedit post yako na itasomeka vile utakacho
Nasubiri mrejesho kwasababu najua wewe sio slow learner
Hasa unapongezwa kwa lepi!!?Asante sana
Kwa kutupia post ya 45kHasa unapongezwa kwa lepi!!?
Ila ni pongezi ya nini hebu nijuzeAsante sana
AaahKumbe wewe ni wa darisalama mimi nipo Singida mkuu now tunakula viazi tu na Ramadhani ndio hiyo basi ni mwendo wa futari bila ya gharama za kodi ya mwezi mtukufu
Ila nahisi atakuwa kashageukaAaah
Gudi, singida kuna mtu anaitwa amaizing apa alikuja kuchukua mke uko juzi tuu
Anasema kasoma Kayumba.Cjaona werrason
MmmhKwa kutupia post ya 45k
Masihara hayo, we ulikuwa unakunywa supu muda huoMmmh
Mi ndo nlotuma ya 45 K
ebu angalia vizuri tena
Nisipo piga reply hakuna icon inatokeaHii pia umeedit ila kosa ulilofanya ni badala ya kuhold tu post we umeclick reply ndo ukaedit
Ila hongera mwanzo mzuri
Hold...... Yani kuhold ndo uchawi ukiona imebadikika na kuwa blue kwa juu chini au pembeni lazima kutakuwa na hizo icon afe mtu afe mmasaiNisipo piga reply hakuna icon inatokea
So i thnk my phone is difrnt
Ila ngoja nichek zaid
Katika ubora wako dada
amaizing kuchukua mke???Aaah
Gudi, singida kuna mtu anaitwa amaizing apa alikuja kuchukua mke uko juzi tuu
HahahaHold...... Yani kuhold ndo uchawi ukiona imebadikika na kuwa blue kwa juu chini au pembeni lazima kutakuwa na hizo icon afe mtu afe mmasai
Mwongeze na konziJinsi ya kuedit post
Bonyeza ile post husika bila kuachia mpaka ijihighlight then achia, angalia icon zitakazokuja kisha chagua ile kama kijipen au ile alama ya spana, iclick kisha utaedit post yako na itasomeka vile utakacho
Nasubiri mrejesho kwasababu najua wewe sio slow learner
amaizing kuchukua mke???
Blue ikija nenda kwenye menyu either vile vidoti vitatu or menu ya foniHahaha
Bas cm yangu kafa mmasai maana icon hazitokei japo blue ina kuja
Wapo watoto wa kikapuku wazuri tu. Nawe karibu ila kama unae uje tu kututembeleaAaah
Gudi, singida kuna mtu anaitwa amaizing apa alikuja kuchukua mke uko juzi tuu