Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kweli tumetoka mbali sanaa, watu walikuwa wanajisifia jinsi wanavyomiliki gari za kifahari na jinsi wanavyoangaliana kwenye foleni, sisi na baiskeli zetu ndo tukakutana,
Ibra dawa yake ni Actros tu akiweza ainunue sio kulia lia bure tu hapa
Hivi ni Ibra ndio ndio anatakiwa anunue Actros benz truck ?? Sijui hata kama anaweza toa Leyland Comet inayotengenezwa hapa South Africa
 
24032bcfc76efc9fb74a44210ba31747.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom