Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Mshana Jr ni mkongwe kapuku hahahahVipi braza Mshana kawa mkongwe wa kwanza anayetamani kuwa kapuku au ? Namwona humu kwa makapuku simwelewi
Mshana Jr ni mkongwe kapuku hahahahVipi braza Mshana kawa mkongwe wa kwanza anayetamani kuwa kapuku au ? Namwona humu kwa makapuku simwelewi
Duu nimekubali aisee Mods wenyewe watakua wanatamani kuchangia sema ndio hivyo wanaona aibuYani hatutabiriki kabisaaaa, ila uzi ndo umezidi kuwa hot sasa
Uzuri utakua unaanzisha vita na kapuku na moto wa makapuku unaujuaYaani wakianza kuni-doubt kesi inahamia kwako Uncle![]()
Kwa maono sasa ndio nnapokukubali mpaka basi muendesha baiskeli mwenzanguDuu nimekubali aisee Mods wenyewe watakua wanatamani kuchangia sema ndio hivyo wanaona aibu
Hahahaha huyu mjeda
Mi sitaki vita buanaUzuri utakua unaanzisha vita na kapuku na moto wa makapuku unaujua
Tukujue nyodo zako![]()
Shika pesa.....
..............................
Ndio mimi ndimi ,tumetoka mbali eti toka kuendesha baiskeli mpaka kwenye unabii ,Kwa maono sasa ndio nnapokukubali mpaka basi muendesha baiskeli mwenzangu
Hivi ni wewe yule ajae au tumtazamie mwingine???
Duu nimekubali aisee Mods wenyewe watakua wanatamani kuchangia sema ndio hivyo wanaona aibu
mkuu umetishaUSAWawapi hawa?View attachment 337259
Teh haya bana ,mimi nilikua napita tu nikaona nikuchokoze ,sema yule Mkongwe wewe endelea nae tu,na hivi ni diabetic ,utarudi tu kwa makapuku siku mojaMi sitaki vita buana
Inabidi tuanze uchunguzi.Teh teh ,mimi nimewatadharisha tu makapuku unaweza ukawa double agent
We ni mchokoziTeh haya bana ,mimi nilikua napita tu nikaona nikuchokoze ,sema yule Mkongwe wewe endelea nae tu,na hivi ni diabetic ,utarudi tu kwa makapuku siku moja
Sawa tu lakini