ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
Alafu mwisho wa siku watu kama hawa wanakuja kulalamika maendeleo hakuna,wakati wanashinda baa.Hapana mkuu kule ni kujiendekeza,
Mfano kijiji nilichoenda jana, vijana wengi wanaamini ukinywa pombe ndio unapata nguvu ya kufanya kazi, matokeo yake wakipata pesa kidogo zinaishia Kwa pombe
Ni sawa na mateja tu eti MAISHA MAGUMU ndo ule bange,ngadu & mipombe asubuhi hadi usiku[emoji780]Lakini mkuu huwezi kusolve matatizo kwa kuyakimbia.
Lazima tubadili fikra zetu Kwanza.
Hapana mkuu kule ni kujiendekeza,
Mfano kijiji nilichoenda jana, vijana wengi wanaamini ukinywa pombe ndio unapata nguvu ya kufanya kazi, matokeo yake wakipata pesa kidogo zinaishia Kwa pombe
Elimu inatakiwa Kwa wananchi wa vijijiniLakini mkuu huwezi kusolve matatizo kwa kuyakimbia.
Lazima tubadili fikra zetu Kwanza.
Kweli huu mchongo ....nikiwa FREE nitakufuata PMElimu inatakiwa Kwa wananchi wa vijijini
Kuna kijiji kimoja mwaka jana tulitoa elimu ya madhara ya matumizi mabaya ya pombe, sasa kunamama alikuwa mpishi wa pombe aliamua kuacha ile biashara na tulimanage kumpa mkopo.
Mwaka huu tumeenda kufanya followup yule Mama anamaendeleo ya Hali ya juu na wananchi wengi wameacha kunywa pombe kupita kiasi coz ya yule mama
Kile kijiji sasa kinauhai na maendeleo yanaoneka.
ME nadhani hii ni fursa kwetu vijana kutafuta donors na kwenda kutackle haya matatizo
Ni kweli kunywa pombe si vibaya ila kunywa pombe kupita kiasi ni mbaya Kwa afya na Kwa uchumiNi sawa na mateja tu eti MAISHA MAGUMU ndo ule bange,ngadu & mipombe asubuhi hadi usiku[emoji780]
Biblia HAIKATAZI KILEVI BALI INAKATAZA ULEVI.....kunywa kwa step usahau shida zako sio kushinda kilabuni km ng'ombe zizini
Karibu tubadilishane mawazoooKweli huu mchongo ....nikiwa FREE nitakufuata PM
.........
Mimi Vasco Da Gama(napenda kusafirisafiri)Karibu tubadilishane mawazooo
Eti wanaweka heshima bar badala ya kuweka heshima Kwa investments [emoji12]Alafu mwisho wa siku watu kama hawa wanakuja kulalamika maendeleo hakuna,wakati wanashinda baa.
Hahaaaa, safi sanaaaaaMimi Vasco Da Gama(napenda kusafirisafiri)
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
Yap ni kweli kabisa mkuu.Elimu inatakiwa Kwa wananchi wa vijijini
Kuna kijiji kimoja mwaka jana tulitoa elimu ya madhara ya matumizi mabaya ya pombe, sasa kunamama alikuwa mpishi wa pombe aliamua kuacha ile biashara na tulimanage kumpa mkopo.
Mwaka huu tumeenda kufanya followup yule Mama anamaendeleo ya Hali ya juu na wananchi wengi wameacha kunywa pombe kupita kiasi coz ya yule mama
Kile kijiji sasa kinauhai na maendeleo yanaoneka.
ME nadhani hii ni fursa kwetu vijana kutafuta donors na kwenda kutackle haya matatizo
Yap ni kweli kabisa mkuu.
Inabidi na sisi vijana pia tuwajibike kila mtu kwa nafasi yake na jinsi atakavyoweza ili tuweze kuleta positive changes kwenye jamii zetu.
V4C (Kijijini For Change)Positive thinking
Positive changes
Together we can change our societies
Haya kapukuzzzz movement hii imeanza, kila mmoja Kwa nafasi yake anaweza kubadili maisha ya mtu mmoja Kwa ushauri tuu juu ya matumizi mabaya ya pombeV4C (Kijijini For Change)
.......
Tutokomeze viKITWANGA vijijini ....wanachelewesha maendeleoHaya kapukuzzzz movement hii imeanza, kila mmoja Kwa nafasi yake anaweza kubadili maisha ya mtu mmoja Kwa ushauri tuu juu ya matumizi mabaya ya pombe
V4C/S4C(societyforchange)
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Pole yako aisee, mimi nko hapa napiga Kitwanga tena kile cha take awayView attachment 351184
Hii nimeipenda.Haya kapukuzzzz movement hii imeanza, kila mmoja Kwa nafasi yake anaweza kubadili maisha ya mtu mmoja Kwa ushauri tuu juu ya matumizi mabaya ya pombe
V4C/S4C(societyforchange)
Salama brother habari ya kwako.Habari ya asubuhi Waungwana!
Hapana mkuu kule ni kujiendekeza,
Mfano kijiji nilichoenda jana, vijana wengi wanaamini ukinywa pombe ndio unapata nguvu ya kufanya kazi, matokeo yake wakipata pesa kidogo zinaishia Kwa pombe
Mabinti wa kitanga,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].
Nimepata katoto ka kitanga kameniganda ni balaa..
Mapenzi ukiyaotea raha sana wallah.