Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20251009_073345_Opera%20Mini.jpg
 
Nami nakutakia afya njema mkuu, tena uwe nayo tele.

Binafsi ni mtu ninaye amini katika mabadiko katika mfumo wa uongozi uliopo ila hio 29/10 bado haitakuwa wakati sahihi au wakati kusudiwa.

Nafurahi amsha amsha hizi zinapo shika kasi kwani inawapa ishara ya tahadhari watawala kwamba jana ya wananchi ni tofuti ssna na leo hivyo kesho inaweza kuwa tofauti Zaidi hivyo wanachukua tahadhari.
So mkuu Poker kwa mara ya kwanza sita enda kupiga kura wala sitaenda kwa barabara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom