Duh, umegusa maslahi ambayo kila likitajwa jina basi moyo unaacha kusukuma damu unasukuma mapenzi. Usawa hakuna kabisa, nilidhani nitashinda mechi yangu ila refa na watazamaji wako kwa timu pinzani.
....umejuaje anavuta ha ahhaaahah, leo ni furahiday, leritbeaneasy1Unachovuta acha dogo.
Na bado!Duh, umegusa maslahi ambayo kila likitajwa jina basi moyo unaacha kusukuma damu unasukuma mapenzi. Usawa hakuna kabisa, nilidhani nitashinda mechi yangu ila refa na watazamaji wako kwa timu pinzani.
Happy furahiday kwako
Huyo lazima mvutaji.....umejuaje anavuta ha ahhaaahah, leo ni furahiday, leritbeaneasy1
Usijali mkuu najua fika atoto anakupenda ila shida yake kwasasa ni marejesho ya kausha damu tu ndio yanamsumbua.Duh, umegusa maslahi ambayo kila likitajwa jina basi moyo unaacha kusukuma damu unasukuma mapenzi. Usawa hakuna kabisa, nilidhani nitashinda mechi yangu ila refa na watazamaji wako kwa timu pinzani.
Happy furahiday kwako
Usijali mkuu najua fika atoto anakupenda ila shida yake kwasasa ni marejesho ya kausha damu tu ndio yanamsumbua.
😁 we jamaa.....shemegi yangu huyu mitaa ya kaskazini.
Mweeeeeh zei bikam zos🙆♂️🙆♂️Usijali mkuu najua fika atoto anakupenda ila shida yake kwasasa ni marejesho ya kausha damu tu ndio yanamsumbua.
Shindii mama shirima ajambo lakin?
Hajambo, anasema anakudai bohora nne.Shindii mama shirima ajambo lakin?
Hahahahahaha atavimbiwa , msalie sana mama shirimaHajambo, anasema anakudai bohora nne.
Urudishe bohora za wenyewe🤣Hahahahahaha atavimbiwa , msalie sana mama shirima
Kuna zile kata za asiliUrudishe bohora za wenyewe🤣
🤣 ebwanaeee! Kwahyo umeona ujitulize kwa toto la kichaga maki. Atoto ni pisi kali sana haswa akisuka minyoosho, weekend hi naenda kumuona kwa mama shirima tukiwa na big boss Tresor Mandala nawewe uje mkuu.
Hahahaha, Tuko pamoja🤣 ebwanaeee! Kwahyo umeona ujitulize kwa toto la kichaga maki. Atoto ni pisi kali sana haswa akisuka minyoosho, weekend hi naenda kumuona kwa mama shirima tukiwa na big boss Tresor Mandala nawewe uje mkuu.