Shunie asante kwa magazeti ila usisahau kutuletea je wajua? Maana
Atoto kuna vitu havijui na kupitia wajua atajua kama vile ambavyo
Tresor Mandala anavyomjua
Makiwendo au namna
Obe alivyojua
Atoto ni pisi kali, ila
min -me unajuwa kuwa
Shunie aliwahi kuwa miss ilala namba 2?