Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Wapi wewee, wakati umeachwa..Nimeamua kuacha mwenyewe.
Nimeona isiwe tabu.
Njoo kwenye chama chetu tu cha CHAPUTA..
Ili wapangaji wateleze bafuni
Wapi wewee, wakati umeachwa..Nimeamua kuacha mwenyewe.
Nimeona isiwe tabu.
Hahahaa hakifi hapo, kinazidi kuwa strong.![]()
Utaua kifaranga
![]()
![]()
![]()
........
Am happy to hear that my loveI'm fine honey!
Nina wamiss sana humuAtafanya na brother.
Unajikuta mke ni wako halafu unaingia jela mwenyew bila kupenda akiangua anajifungua bila UCHUNGU
Asante my loveAm happy to hear that my love
Cc. lizziebettie hebu fanya mpango utupie kapicha tumuonyeshe huyu kijana vile jinsi bwana muumba amefanya kazi yake vizuri.Muweke hapa ni contrast na kucompare, ila mimi naamini huyo mrembo ni OVERALL
Anamwita bibiWewe mpenzi wako unamuitaje?
Prove it...alafu huyo sio katuni bana, SHE'S MY RIB"Ni mzuri, zaidi ya huyo
Halafu usimfananishe mpenzi wangu na katuni
Nikimuonyesha atapagawa.Cc. lizziebettie hebu fanya mpango utupie kapicha tumuonyeshe huyu kijana vile jinsi bwana muumba amefanya kazi yake vizuri.
Ndio maana hajui babe!Anamwita bibi
Inabidi niombe usajiri mkuu, ila inabidi vijana wa CHAPUTA wapewe semina elekezi kwanza,unajua si poa kabisa kutelezesha watu bafuni,kama vipi vijana watengenezewe socks* maalumu kwa kazi hiyo......Wapi wewee, wakati umeachwa..
Njoo kwenye chama chetu tu cha CHAPUTA..
Ili wapangaji wateleze bafuni
Kama vile *HUBBY* kwa kimomboWewe mpenzi wako unamuitaje?
TetramelyzNikimuonyesha atapagawa.
Hahaha wewe jua hivyo. lizziebettie ni beautifulProve it...alafu huyo sio katuni bana, SHE'S MY RIB"
NdioKama vile *HUBBY* kwa kimombo
Hahahaa hakifi hapo, kinazidi kuwa strong.
Habari yako brother.Nina wamiss sana humu