ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,509
- 57,091
Kwema Mkuu.Kwema humu makapuku?
Ndio loveHizi hazina mvuto.
njema sana, naona mpo kambini kwetu kama kawaTuko poa brother.
Habari yako.
YeahNdio love
Teh, teh, teh....nazingua kiaje kiongozi?Namuona UNAKULA LIKES ZA BURE KAMA MFALME VILE
Unazingua
........
mna utani na wamakonde?Hapo inategemea na ntu na ntu
Tupo kama kawaida yetu mkuu.njema sana, naona mpo kambini kwetu kama kawa
Kwema Mkuu.
Mambo vipi.
asante joh!! kwema lakinKWEMAA, karibu kwa mara nyengine tena
KwemaaaKwema humu makapuku?
Huku kwema kabisa mkuu.Salama kabisa, habari ya huko uliko?
Haitantoa damu kweli?? Mmh._!Nitakuletea moja kutoka Tanga ujaribu mkuu.![]()
![]()
![]()
![]()
Uko poa kaka?asante joh!! kwema lakin
Kwemaaa
Yani ni laini balaa mkuu.....Haitantoa damu kweli?? Mmh._!
Kwema, za mchoko?Kwema humu makapuku?
Huku kwema kabisa mkuu.
Umekunywa Chai?
Hongera mkuu kwa kuamua kutumia gahawa.Natumia kahawa muda huu mkuu
nipi kaka, nimetoka kukamilisha dili la Mourinho.Uko poa kaka?