Dada anagombea udiwani, yuko bize na kampeni🤣...sijambo sana shemegi. Niliongea na mumeo akasema unagombea ubunge, safi sana.
mdogo wako ako wapi? nimemuhamu hadi dokta akanikataa akasema nitafute waganga.
Auntie hizi post achana nazo kwanza jamani😭😭
Auntie nimekununia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie uongo dhambi ujue🤣🤣Auntie mwambie ukweli. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba huyo shunie mwenyewe sio binti ni mshangazi
Hahahaha, Rafiki twende morogoro kutembeaHe he wazeee wa kazi maalum
Mshangazi Shunie hatarii sanaAuntie mwambie ukweli. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba huyo shunie mwenyewe sio binti ni mshangazi