jamaniii watu mna nn nyie na Hidaya? juzi huku mtaani kuna mtu ananambia "wee kiumbe una hatar hata kimbunga Hidaya hakifikii" nkamjibu sio Hidaya hata Latiffa hakioni ndani.
Penzi letu la maonesho a.k.a penzi tangazo, tukipeana namba nani atajua tunadate, tukimisiana tunakuja kusakana makapuku, ili iwe tangazo kila mtu ajua Makaveli10 nimekamatika na Atoto 🤣